\v=17 \v~=Walianza kazi ya utakaso siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza na kufikia siku ya nane ya mwezi huo wakawa wamefikia kwenye ukumbi wa \nd Bwana\nd*. Kwa siku zingine nane wakalitakasa Hekalu lenyewe la \nd Bwana\nd* wakakamilisha katika siku ya kumi na sita ya mwezi huo wa kwanza. \¬v \¬p