\p \v=20 \v~=Ndipo Mfalme Hezekia akainuka asubuhi na mapema, akakusanya pamoja maafisa wa mji wakakwea hekaluni mwa \nd Bwana\nd*. \¬v