\p \v=25 \v~=Akawaweka Walawi kwenye Hekalu la \nd Bwana\nd* wakiwa na matoazi, vinubi na zeze kama ilivyoagizwa na Daudi na Gadi mwonaji wa mfalme pamoja na nabii Nathani kwani hili lilikuwa limeamriwa na \nd Bwana\nd* kupitia manabii wake. \¬v