\p \v=27 \v~=Hezekia akatoa amri ya kutoa sadaka ya kuteketezwa madhabahuni. Walipoanza kutoa sadaka, wakaanza pia kumwimbia \nd Bwana\nd* pamoja na tarumbeta na zile ala za uimbaji za Daudi mfalme wa Israeli. \¬v