\v=30 \v~=Mfalme Hezekia na maafisa wake wakawaamuru Walawi kumsifu \nd Bwana\nd* kwa maneno ya Daudi na ya Asafu mwonaji. Hivyo wakaimba sifa kwa furaha nao wakainamisha vichwa vyao na kuabudu. \¬v \¬p