\p \v=31 \v~=Kisha Hezekia akasema, “Sasa mmejiweka wakfu kwa \nd Bwana\nd*. Njooni mlete dhabihu na sadaka za shukrani Hekaluni mwa \nd Bwana\nd*.” Hivyo kusanyiko likaleta dhabihu na sadaka za shukrani, nao wote waliokuwa na mioyo ya hiari wakaleta sadaka za kuteketezwa. \¬v \¬p