\v=5 \v~=na kusema: “Nisikilizeni mimi, enyi Walawi! Jitakaseni nafsi zenu sasa, mkaitakase na nyumba ya \nd Bwana\nd*, Mungu wa baba zenu. Ondoeni uchafu wote kutoka mahali patakatifu. \¬v