\v=6 \v~=Baba zetu hawakuwa waaminifu, walifanya maovu machoni pa \nd Bwana\nd* Mungu wetu na wakamwacha yeye. Wakageuza nyuso zao mbali na Maskani ya \nd Bwana\nd* wakamgeuzia visogo vyao. \¬v