\v=8 \v~=Kwa hiyo, hasira ya \nd Bwana\nd* ikashuka juu ya Yuda na Yerusalemu, naye akawa amewafanya kitu cha kutisha, cha kushangaza na kitu cha kufanyia mzaha kama mnavyoona kwa macho yenu wenyewe. \¬v