\v=10 \v~=Nitawapa watumishi wako, yaani, maseremala wakatao mbao, kori 20,000\f + \fr 2:10 \ft Kori 20,000 za ngano ni sawa na lita 4,400.\f* za unga wa ngano, kori 20,000 za shayiri, bathi 20,000\f + \fr 2:10 \ft Bathi 20,000 za mvinyo au mafuta ni sawa na lita 440,000.\f* za mvinyo, na bathi 20,000 za mafuta ya zeituni.” \¬v \¬pm