\v=18 \v~=Ingawa watu wengi miongoni mwa wale waliotoka Efraimu, Manase, Isakari na Zabuloni walikuwa hawajajitakasa, hata hivyo walikula Pasaka kinyume na ilivyoandikwa. Lakini Hezekia akawaombea, akisema, “\nd Bwana\nd*, ambaye ni mwema na amsamehe kila mmoja \¬v