\p \v=22 \v~=Hezekia akazungumza akiwatia moyo Walawi wote, ambao walionyesha ustadi katika kumtumikia \nd Bwana\nd*. Hivyo watu wakala chakula cha sikukuu kwa siku saba, wakitoa sadaka za amani na kumshukuru \nd Bwana\nd*, Mungu wa baba zao. \¬v \¬p