\v=7 \v~=Msiwe kama baba zenu na ndugu zenu, ambao hawakuwa waaminifu kwa \nd Bwana\nd*, Mungu wa baba zao, hivyo akawafanya kitu cha kushangaza kama mnavyoona. \¬v