\v=8 \v~=Msiwe na shingo ngumu, kama baba zenu walivyokuwa, bali nyenyekeeni kwa \nd Bwana\nd*. Njooni mahali patakatifu, alipopatakasa milele. Mtumikieni \nd Bwana\nd* Mungu wenu, ili hasira yake kali igeuziwe mbali nanyi. \¬v