\v=10 \v~=naye Azaria aliyekuwa kuhani mkuu, kutoka jamaa ya Sadoki, akajibu, “Tangu watu walipoanza kuleta sadaka zao katika Hekalu la \nd Bwana\nd* tumekuwa na chakula cha kutosha na vingi vya kuweka akiba kwa sababu \nd Bwana\nd* amewabariki watu wake, hivyo tumekuwa na kiasi kingi kilichobaki.” \¬v \¬p