\p \v=14 \v~=Kore mwana wa Imna, Mlawi, bawabu wa Lango la Mashariki, alikuwa msimamizi wa sadaka za hiari zilizotolewa kwa Mungu, akiyagawanya hayo matoleo yaliyotolewa kwa \nd Bwana\nd* na pia zile sadaka zilizowekwa wakfu. \¬v