\p \v=16 \v~=Maafisa wa Senakeribu wakaendelea kunena dhidi ya \nd Bwana\nd* aliye Mungu na dhidi ya mtumishi wake Hezekia. \¬v