\p \v=22 \v~=Hivyo \nd Bwana\nd* akamwokoa Hezekia na watu wa Yerusalemu kutoka mkononi mwa Senakeribu mfalme wa Ashuru na kutoka mikononi mwa wengine wote. \nd Bwana\nd* akawastarehesha kila upande. \¬v