\v=23 \v~=Watu wengi wakaleta sadaka Yerusalemu kwa ajili ya \nd Bwana\nd* na zawadi za thamani kwa ajili ya Hezekia mfalme wa Yuda. Tangu hapo na kuendelea, Hezekia aliheshimiwa sana na mataifa yote. \¬v \¬p