\v=25 \v~=Lakini moyo wa Hezekia ukajaa majivuno na hakuonyesha itikio kwa wema aliotendewa, kwa hiyo ghadhabu ya \nd Bwana\nd* ikawa juu yake na juu ya Yuda na Yerusalemu. \¬v