\v=26 \v~=Ndipo Hezekia akatubu kwa ajili ya kiburi cha moyo wake, kama walivyofanya watu wa Yerusalemu, kwa hiyo ghadhabu ya \nd Bwana\nd* haikuja juu yao katika siku za Hezekia. \¬v \¬p