\v=5 \v~=Hezekia akafanya kazi kwa bidii kukarabati sehemu zote zilizokuwa zimebomoka za ukuta na kujenga minara juu yake. Akajenga ukuta mwingine nje ya ule uliokuwepo na kuimarisha Milo\f + \fr 32:5 \ft Milo maana yake Boma la Ngome.\f* katika Mji wa Daudi. Akatengeneza pia silaha nyingi na ngao. \¬v \¬p