\v=8 \v~=Kwake uko mkono wa mwili tu, bali kwetu yuko \nd Bwana\nd* Mungu wetu kutusaidia na kutupigania vita vyetu.” Nao watu wakatiwa moyo kutokana na maneno aliyowaambia Hezekia mfalme wa Yuda. \¬v \¬p