\v=13 \v~=Naye alipomwomba, \nd Bwana\nd* akaguswa na kule kusihi kwake na akasikiliza kilio chake, kwa hiyo akamrudisha Yerusalemu na kwenye ufalme wake. Ndipo Manase akatambua kwamba \nd Bwana\nd* ndiye Mungu. \¬v \¬p