\p \v=15 \v~=Akaondolea mbali miungu ya kigeni na kuondoa sanamu kutoka Hekalu la \nd Bwana\nd* pamoja na madhabahu zote alizozijenga katika kile kilima kilichojengwa Hekalu na katika Yerusalemu, akazitupa nje ya mji. \¬v