\v=16 \v~=Kisha akarudisha madhabahu ya \nd Bwana\nd* na kutolea juu yake dhabihu za sadaka za amani pamoja na sadaka za shukrani, naye akawaamuru Yuda wamtumikie \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli. \¬v