\v=23 \v~=Lakini tofauti na Manase baba yake, hakujinyenyekeza mbele za \nd Bwana\nd*, badala yake Amoni aliongeza hatia zaidi na zaidi. \¬v \¬p