\v=9 \v~=Lakini Manase akawaongoza Yuda na watu wa Yerusalemu katika upotovu, kiasi kwamba walifanya maovu mengi kuliko mataifa ambayo \nd Bwana\nd* aliwaangamiza mbele ya Waisraeli. \¬v \¬p