\v=15 \v~=Hilkia akamwambia Shafani mwandishi, “Nimekipata Kitabu cha Sheria ndani ya Hekalu la \nd Bwana\nd*.” Akampa Shafani kile Kitabu. \¬v \¬p