\v=21 \v~=“Nendeni mkamuulize \nd Bwana\nd* kwa ajili yangu na kwa ajili ya mabaki walioko Israeli na Yuda kuhusu yale yaliyoandikwa ndani ya kitabu hiki ambacho kimepatikana. Hasira ya \nd Bwana\nd* ni kubwa mno ambayo imemwagwa juu yetu kwa sababu baba zetu hawakulishika neno la \nd Bwana\nd* wala hawajatenda kulingana na yale yote yaliyoandikwa katika Kitabu hiki.” \¬v \¬p