\v=26 \v~=Mwambieni mfalme wa Yuda, ambaye amewatuma kumuuliza \nd Bwana\nd*, ‘Hivi ndivyo asemavyo \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli kuhusu maneno uliyoyasikia: \¬v