\v=31 \v~=Mfalme akasimama karibu na nguzo yake na kufanya upya Agano mbele za \nd Bwana\nd* ili kumfuata \nd Bwana\nd* na kuzishika amri zake, maagizo na sheria kwa moyo wake wote na kwa roho yake yote na ili kuyatii maneno ya Agano yaliyoandikwa katika kitabu hiki. \¬v \¬p