\p \v=32 \v~=Ndipo akamtaka kila mmoja katika Yerusalemu na Benyamini kuweka ahadi zao wenyewe kwa hilo Agano, watu wa Yerusalemu wakafanya hivyo kwa kufuata Agano la \nd Bwana\nd*, Mungu wa baba zao. \¬v \¬p