\p \v=33 \v~=Yosia akaondoa machukizo yote ya sanamu kutoka nchi yote iliyokuwa mali ya Waisraeli na akawataka wale wote waliokuwako katika Israeli wamtumikie \nd Bwana\nd* Mungu wao. Kwa muda wote alioishi, hawakushindwa kumfuata \nd Bwana\nd*, Mungu wa baba zao. \¬v \¬p \¬c