\p \v=16 \v~=Kwa hiyo wakati ule huduma yote ya \nd Bwana\nd* ilifanyika katika kuadhimisha Pasaka, kutoa sadaka za kuteketezwa juu ya madhabahu ya \nd Bwana\nd* kama alivyoamuru Mfalme Yosia. \¬v