\v=6 \v~=Chinjeni mwana-kondoo wa Pasaka, jitakaseni, nanyi kwa niaba ya koo zenu fanyeni maandalizi, mkitenda sawasawa na neno la \nd Bwana\nd* kwa mkono wa Mose.” \¬v \¬p