\v=14 \v~=Zaidi ya hayo viongozi wote wa makuhani pamoja na watu wakazidi kukosa uaminifu zaidi na zaidi, wakafanya machukizo yote kama walivyofanya mataifa wakinajisi Hekalu la \nd Bwana\nd* alilokuwa amelitakasa huko Yerusalemu. \¬v \¬p