\v=16 \v~=Lakini waliwadhihaki wajumbe wa \nd Bwana\nd* wakayadharau maneno yake na kuwacheka manabii wake mpaka ghadhabu ya \nd Bwana\nd* ikawa kubwa dhidi ya watu wake na hakukuwa na namna ya kuituliza. \¬v