\v=18 \v~=Akavichukua kwenda Babeli vyombo vyote kutoka Hekalu la Mungu, vikubwa na vidogo, hazina za Hekalu la \nd Bwana\nd* pamoja na hazina za mfalme na za maafisa wake. \¬v