\v=3 \v~=Mfalme wa Misri akamwondoa madarakani huko Yerusalemu na akatoza Yuda kodi ya talanta 100\f + \fr 36:3 \ft Talanta 100 za fedha ni sawa na tani 3.75.\f* za fedha na talanta moja\f + \fr 36:3 \ft Talanta moja ya dhahabu ni sawa na kilo 34.\f* ya dhahabu. \¬v