\p \v=3 \v~=Msingi aliouweka Solomoni kwa ajili ya kulijenga Hekalu la Mungu ulikuwa urefu wa dhiraa sitini\f + \fr 3:3 \ft Dhiraa 60 ni sawa na mita 27.\f* na upana dhiraa ishirini.\f + \fr 3:3 \ft Dhiraa 20 ni sawa na mita 9.\f* \¬v