\v=4 \v~=Ukumbi wa mbele wa Hekalu ulikuwa na urefu wa dhiraa ishirini, yaani, kuanzia upande mmoja hadi upande mwingine wa upana wa nyumba hiyo na kimo chake dhiraa thelathini.\f + \fr 3:4 \ft Dhiraa 30 ni sawa na mita 13.5.\f* \¬p \p \p~<