\p \v=8 \v~=Akajenga Patakatifu pa Patakatifu, urefu na upana wake ulikuwa dhiraa ishirini, sawasawa na upana wa Hekalu. Alifunika ndani kwa talanta 120\f + \fr 3:8 \ft Talanta 120 za dhahabu ni sawa na tani 23.\f* za dhahabu safi. \¬v