\v=2 \v~=Akatengeneza Bahari ya kusubu, yenye umbo la mviringo, ya dhiraa kumi kutoka ukingo hadi ukingo na kimo cha dhiraa tano. Kamba ya urefu wa dhiraa thelathini\f + \fr 4:2 \ft Dhiraa 30 ni sawa na mita 13.5.\f* ingeweza kuizunguka. \¬v