\v=3 \v~=Chini ya huo ukingo, kulikuwa na mafahali kuizunguka, yaani mafahali kumi katika kila dhiraa moja.\f + \fr 4:3 \ft Dhiraa moja ni sawa na sentimita 45.\f* Hayo mafahali waliyasubu katika safu mbili yakiwa ya kitu kimoja na hiyo Bahari. \¬v \¬p