\v=5 \v~=Unene wake ulikuwa nyanda nne,\f + \fr 4:5 \ft Nyanda nne ni sawa na sentimita 7.5.\f* na ukingo wake ulifanana na ukingo wa kikombe, kama ua la yungiyungi iliyochanua. Iliweza kuchukua bathi 3,000.\f + \fr 4:5 \ft Bathi 3,000 ni sawa na lita 60,000.\f* \¬v \¬p