\p \c#=5 \v=1 \v~=Hivyo Solomoni alipomaliza kazi ya Hekalu la \nd Bwana\nd*, akaviingiza ndani vile vitu ambavyo Daudi baba yake alikuwa ameviweka wakfu: yaani, fedha, dhahabu na samani; kisha akaviweka katika hazina za Hekalu la Mungu. \¬v \¬p