\v=13 \v~=Wapiga tarumbeta na waimbaji wakaungana katika sauti linganifu, ikawa kama vile ni sauti moja, wakimsifu na kumshukuru \nd Bwana\nd*, nao alipoinua sauti zao pamoja na tarumbeta na matoazi na vyombo vingine vya uimbaji, wakamsifu \nd Bwana\nd* wakisema: \¬p \q1 \p~<