\p \v=7 \v~=Makuhani wakalileta Sanduku la Agano la \nd Bwana\nd* hadi mahali pake ndani ya sehemu takatifu ndani ya Hekalu, yaani Patakatifu pa Patakatifu, na kuliweka chini ya mabawa ya makerubi. \¬v