\v=17 \v~=Sasa, Ee \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, acha neno lako lile ulilomwahidi mtumishi wako Daudi baba yangu litimie. \¬v \¬pm